TAASISI YA MAFUNZO YA AFYA RUBYA, TUNAWATANGAZIA WANANCHI NA WAHITIMU WA KIDATO CHA NNE NA SITA KUWA UDAHILI/USAJIRI WA WANAFUNZI KWA MWAKA WA MASOMO 2019/2020 UMEANZA TAREHE 28/05/2019 CHUONI. KWA KOZI ZA UUGUZI NA UKUNGA (NURSING), AFISA TABIBU (CO), WATAALAMU WA MAABALA (LABORATORY TECHNICIAN), NA WAUGUZI WANAOTAKA KUJIENDELEZA (NURSING IN-SERVICE). WASILIANA NASI KWA NAMBA ZIFUATAZO 0765801806/0754649199/0754513656 AU FIKA CHUONI: ADMISSION FOR NEW APPLICANTS WHO WISH TO JOIN OUR INSTITUTE IN ACADEMIC YEAR 2019/2020 IS NOW OPEN FROM 28/05/2019 CONTACT US 0765 801 806, 0754 649 199, 0754 513 656 FOR MORE INFORMATION